Habari Wana JF, Natumai mko poa.
Wakuu, nataka kuanzisha online store ningelipenda mnishauri na mpendekeze products ambazo online zinauzika. Mimi nimefikiria kuhusu Laptop na Smartphones used and new.
Kutokana na gharama za ku set up store na kuiendesha. Ningelipenda mupendekeze niche zenye faida. Asante sana natumai uwepo wenu.