MAPENDEKEZO. Noti ya shilingi Elfu kumi ibadilishwe

MAPENDEKEZO. Noti ya shilingi Elfu kumi ibadilishwe

Mr Q

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
18,046
Reaction score
38,598
Kimsngi sina sababu kubwa sana ila kwa mtazamo wangu naona ni noti fulani isiyo vutia
Rangi mbaya na ni pana(kubwa) sana

Wenye mamlaka litizameni hili.

Screenshot_20231125-105807.png
 
Kwahiyo unashauri.

1.zipunguzwe upana
2.zibadilishwe rangi, je hapa unataka ziwe za pink au njano?
Kuhusu pink au njano sio pendekezo langu ila upana unaweza kupunguzwa na rangi wapewe wataalamu wa hayo mambo walete dizaini mpya.
Jambo moja nikuhakikishie noti ya 5000/ ina rangi nzuri ya kipekee sana. Umewahi kukamata kibunda cha noti mpya za elfu tanotano? Hakika zinapendeza
 
Bora hata hapo wamepunguza kidogo noti za mwaka 2002 mpaka 2010 zilikuwa kubwa, iyo elfu kumi ilikuwa kama bahasha
 
Bora hata hapo wamepunguza kidogo noti za mwaka 2002 mpaka 2010 zilikuwa kubwa, iyo elfu kumi ilikuwa kama bahasha
Bahasha ya A4 😁😁😆😅😄
 
Back
Top Bottom