MAPENDEKEZO. Noti ya shilingi Elfu kumi ibadilishwe

Kwahiyo unashauri.

1.zipunguzwe upana
2.zibadilishwe rangi, je hapa unataka ziwe za pink au njano?
Kuhusu pink au njano sio pendekezo langu ila upana unaweza kupunguzwa na rangi wapewe wataalamu wa hayo mambo walete dizaini mpya.
Jambo moja nikuhakikishie noti ya 5000/ ina rangi nzuri ya kipekee sana. Umewahi kukamata kibunda cha noti mpya za elfu tanotano? Hakika zinapendeza
 
Bora hata hapo wamepunguza kidogo noti za mwaka 2002 mpaka 2010 zilikuwa kubwa, iyo elfu kumi ilikuwa kama bahasha
 
Bora hata hapo wamepunguza kidogo noti za mwaka 2002 mpaka 2010 zilikuwa kubwa, iyo elfu kumi ilikuwa kama bahasha
Bahasha ya A4 πŸ˜πŸ˜πŸ˜†πŸ˜…πŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…