Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,885
Kwa kuongezea ni kujipatia umaarufu na kukusanya mali kwa kupitia muungano, tuachwe tupumue tukutane EACMuungano wenyewe una mambo 7 tu ya kushughulikia na its likely yakapunguzwa. Hii ina maana kiongozi mkuu (Whatever jina atakaloitwa) na kiongozi wa Zanzibar watakua na majukumu mengi mengi zaidi. Hivyo rais wa muungano atakuwa bwanyenye tu, kazi yake itakua kukata utepe tu.
My take.
Tuwe na serekali mbili tu ya Tanganyika na Zanziba. Tutakutana kwenye shirikisho la africa mashariki maana tumeshafika katika hatua nzuri na muda si mrefu mambo haya 7 yatashughulikiwa na shirikisho la east africa