Mapendekezo: Reworking JF Business Forum

Mapendekezo: Reworking JF Business Forum

Entrepreneur

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2011
Posts
1,087
Reaction score
622
Kuwepo kwa hii forum kumetuwezesha wengi wetu kujifunza mengi na kuongea na real millionaires and real entrepreneurs who have been there and done that.

Katika spirit hiyo hiyo ningependelea kuona jukwaa hili linakuwa la kwanza kwa kuzalisha wajasiriamali wengi na kutoa shule isiyolipiwa na isiyohitaji muda mrefu wa kukaa darasani. Hivyo basi ili kuboresha Jukwaa mimi ninapendekeza tuwe na kijiwe cha Success Stories (Subforum) ambapo JF Successful Entrepreneurs watakuwa wanatoa story zao- this is very inspirational guys. Ukipitia ile post ya ELNINO inayosema Nimeamua Kulima kwa mara ya Pili utakubaliana nami.

Halafu tuwe na kijiwe cha DOCSTORE ambacho kitakuwa ni kwa ajili ya kuhifadhi templates kama MEMARTS, Trust Deeds… (itakuwa kama digital library) kwa wale wenye uhitaji ili kupunguza repetition of posts.

Wewe unapendekeza mabadiliko gani?
 
great

kuwe na info za bei mbali mbali za mazao ya kilimo na vitu muhimu, ikiwamo exchange rates, bank interests rates etc zitakazokuwa updated daily to be current
 
fantastic idea, i love it.
ila ikianzishwa iyo subforum, tuache uchangiaji wa dharau, kebei etc. itabidi tuombe mods wairegulate kisawa.

asante sana kwa kuleta wazo zuri.
 
great

kuwe na info za bei mbali mbali za mazao ya kilimo na vitu muhimu, ikiwamo exchange rates, bank interests rates etc zitakazokuwa updated daily to be current

pia kuwe na thread moja ya kuhusu mikopo. Taarifa zote zitupiwe humo.
 
na hata ya makosa iwepo kwa wale wenye guts...........washuhudie wenzio wapi ulikwamana huenda ukapata msaada wa kukwamuliwa hapa
 
Pia msisahau masoko ya kuuzia hizo bidhaa za ajasiriamali, pia annuani na mahali walipo wateja wa hizo bidhaa.
 
Back
Top Bottom