mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,586
- 11,227
Ndugu.
Kutokana na kasi ya uwekezaji ni muhimu sasa tufikilie kuuza mkoa wa Kagera. Mnunuzi atanunua kwa makubaliano ya miaka 30, 50 au hata 90. Kulingana na kiwango cha fedha ako nacho.
Kwanini mkoa wa kagera?
Kwanza ni mkoa ambao unatamaniwa na mataifa mengi jirani hivyo upo katika soko zuri. Mkoa huu ulitamaniwa na waganda, wahutsu na watutsi wote wanautamani.
Mkoa huu utamfaa muwekezaji kwa kilimo cha miwa na ndizi, uwekezaji wa senene na wananchi wenye elimu kubwa. Hakika mkoa huu utafanyika kuwa jiji kubwa.
Tukiuza mkoa huu
Tutapata fedha ya kununulia magari ya viongozi kuboresha utendaji kazi maeneo yetu. Tutapata fedha ya posho kwenye vikao vya viongozi na hata kuongeza muda wa bunge kuwa na vikao virefu zaidi ulimwenguni.
Tutapata fedha kwaajili ya Nauli na mafungu ya kujikimu kwa viongozi watukufu wanao safiri ndani na nje ya Taifa.
Tunaamini kwa kuwa wananchi wa kagera ni wasomi watakubaliana na pendekezo hili na wale wabishi kama mama Tibaijuka watadhibitiwa.
Ahsante
mtwa mkulu kiongozi wa wala mbwa wote jamii forum kwa sasa nipo lilongwe
@DP word kwa utekelezaji
FaizaFoxy aione kwenye jarada