Mapendekezo: Tuuze mkoa wa Kagera

Wazo hili mkuu wetu limekwishamfikia?

Nani,.....Hebu fanya hima habari hii aione Rais wa Jamhuri ya Muungano , Tanzania, Mh. Samia Suluhu Hassan haraka iwezekanavyo.

Uwekezaji wa huku tummshauri Mh. Rais wapewe Mabeberu ya Kiingereza, kwa maana watu wengi wa huku hupenda kidhungu mingi.
 
Kabisa inaonekana mla mbwa kwel na bangi nying sana Kwa maneno hayo
 

we jamaa uchokozi wako mkubwa sana kwa mheshimiwa...
 
NANI ANATAKA KUUZA MKOA WANGU NIKIWA SIJAPEWA TAARIFA KWA KINA.?

KAGERA INAPASWA KUJITEGEMEA NA KUWA NCHI KIVYAKE IITWE ;

JAMHURI YA WASOMI WA KAGERA
Umenikumbusha jamuhuri ya watu wa Ingwe kanda maalumu.
Nimimi mla mbwa ndio dalali zembwela ameshiba sana fedha ya muarabu
 
Haha ni utani lakini wenye ujumbe mzito na unaochoma kwa mamlaka ya juu. WANANCHI wakifikia hatua hii jua kuwa kiti kikuu KIMEDHARAULIWA na hawana Imani nacho tena.
 
Shirikiana na Mwijage-Muleba sidhani kama huu mnada utachukua muda mrefu, kabla ya saa 6 biashara itakuwa imekamilika.
 
Kaskazini yote iuzwe tu, wabakize kanda ya ziwa, pwani n.k
 
tuuze Zanzibar kasehemu Kila siku kanabebwa, hakachangii chochote zaidi ya kupewa misaada, ni kakisiwa kanakomegwa na bahari Kila siku kanapungua, wenyeji wa huko wanajiona waarabu tukishauza tutawapa nauli ya kwenda uarabuni

Moshi na Arusha zipigwe mnada tu
 
Hili nalo wakalitazame..!
Bunge letu tukufu la ccm likae kikao cha dharura haraka iwezekanavyo ili kubadilisha katiba iweze kuruhusu hilo.

Ni vyema ikaitwa British Kingdom (BK)
 
Museveni anauhitaji sana!!
 
Unatuleteaga nuksi sana huu Mkoa sijui Kwa nini Nyerere hakumalizana na Amini na sie tupate Burundi na Rwanda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…