Mapendekezo: Tuuze mkoa wa Kagera

Labda una maana kwamba kwa kuwa huo mkoa ni mzuri kwa uwekezaji wa kila aina lakini wenyewe hawautendei haki mkoa wao ndio maana mkoa bado upo nyuma kimaendeleo !!

Ndio maana pia hata Bandari imetafutiwa mwekezaji kwa sababu miaka nenda rudi tunachokisikia kutoka bandarini ni madudu tu na wakubwa kutumbuliwa kila mara. !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…