Acha kuchafua mada. Kwanini usikae kimya tu kama huna cha kuchangia??????Hivi unaamin standard liquid ya rejeta ni MAji . Ukinunua gari huko duniani linakuwa na maji ee
Embu tuondoe uchama hapa tuko hapa kuishauri serikali...kwani mleta mada amesema chama gani anatoka?Wewe ndio mtanzania tunataka .Mtu mwenye solution.Tanzania inahitaji watu wenye solution kama wewe . Chadema bring solution to problems .Muwe bungeni au popote toeni solution credible kama huyu
Standard ni maji ndio.Hivi unaamin standard liquid ya rejeta ni MAji . Ukinunua gari huko duniani linakuwa na maji ee
Let's say haijashuka wazo lake la "currency stabilization fund" bado litakua valid kuzuia siku isije kushukaSolution? Kwani shilingi imeshuka.
Pure rubbish man. Si mpinzani wala mwanachama wa chama chochote lakin that is pure rubbish man.Vyama vya siasa hasa Upinzani pia vinachangia kuua upatikanaji pesa za kigeni kwenye Familia na nchi mfano kuna wakati Zimbabwe na Kenya kulikuwa na mgomo wa madaktari na manesi wakaomba Tanzania .Upinzani wakapinga kwa nguvu zote hivyo kukosesha maelfu ya madaktari na manesi ambao wangepta ajira kule na kuleta pesa za kigeni.Ushauri kwa serikali ilegeze masharti ya passport watu wasambae duniani kutafuta fursa na pesa za kigeni . madaktari ,ma nurse ,walimiu na vijana walliomaliza vyuo sio tu idle labour ni idle foreign currency cash.Waachwe wakatafute.hela za kigeni nje.Miwazo potofu kuwa ohh sijui wanaenda kujiuza hayo ni mambo binafsi serikali isipende kwenda deep hadi individual level.Wengine wanasema zuia wataenda Fanya uhalifu as if kule hakuna serikali polisi mahakama wala magereza wala sheria!! Mtu akifanya uhalifu kule atakoma huko huko mbona sisi malkia wa tembo tumemkomesha huku huku !! Kwa hiyo China iogope kutoa passport kwa raia? Sababu ya few criminals? Rwanda,kenya Uganda passport kupata ni rahisi mno na watu kwa maelfu huondoka kutafuta pesa za kigeni nje na wanaingizia nchi zao mamilioni ya pesa za kigeni wanazotuma nchini.Kitengo cha passport ni.moja ya kikwazo cha pesa za kigeni kuongezeka. Nchini.Unakomaa eti mtu anaenda kufanya nini alete sijui barua sijui nini ujinga mtupu kwani mtu hawezi kuondoka kwenda kutafuta fursa? Wewe mpe passport hayo maswali akaulizwe nchi anakoenda .Kitengo cha passport kimegeuka kitengo kama cha visa cha nchi zingine.. documents wanazotaka ili kutoa passport ni za visa za nchi unakoenda!!Wamekuwa maofisa wa Visa!!! Wao watoe passport mengine waachie mwenye passport apambane mbele kwa mbele.Mtu anayeernda kutafuta fursa nje unataka akupe barua ya mwaliko ya nani? Serikali ikae na wizara zote Kila wizara ikiwemo ya mambo ya Ndani wajieleze mikakati yao ya kuingiza pesa za kigeni ni ipi.
Matibabu ya Lisu pia yanachangia thamani ya shilingi kushukaPure rubbish man. Si mpinzani wala mwanachama wa chama chochote lakin that is pure rubbish man.
Eti vyama vya upinzan vinachangia shilingi kushuka?
Huko nyuma wakati uchumi ulikuwa stable.. ni nani aliekuwa akichangia mostly shiling kupanda?
Na vyama vya upinzan vilikuwepo lakin je shilingi ilishuka? Why awamu hii tu?
Nchi tumeshindwa ku export bidhaa.. kutwa tuna import kwa ukubwa zaid ya export halaf tunamtamfuta mchawi wa shilingi kushuka..?
Come on man.. huwez taja point hewa kama hii.. you smart than that
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe unaweza kujenga hoja Ukiachana na Fikra za Kiccm..Vyama vya siasa hasa Upinzani pia vinachangia kuua upatikanaji pesa za kigeni kwenye Familia na nchi mfano kuna wakati Zimbabwe na Kenya kulikuwa na mgomo wa madaktari na manesi wakaomba Tanzania .Upinzani wakapinga kwa nguvu zote hivyo kukosesha maelfu ya madaktari na manesi ambao wangepta ajira kule na kuleta pesa za kigeni.Ushauri kwa serikali ilegeze masharti ya passport watu wasambae duniani kutafuta fursa na pesa za kigeni . madaktari ,ma nurse ,walimiu na vijana walliomaliza vyuo sio tu idle labour ni idle foreign currency cash.Waachwe wakatafute.hela za kigeni nje.Miwazo potofu kuwa ohh sijui wanaenda kujiuza hayo ni mambo binafsi serikali isipende kwenda deep hadi individual level.Wengine wanasema zuia wataenda Fanya uhalifu as if kule hakuna serikali polisi mahakama wala magereza wala sheria!! Mtu akifanya uhalifu kule atakoma huko huko mbona sisi malkia wa tembo tumemkomesha huku huku !! Kwa hiyo China iogope kutoa passport kwa raia? Sababu ya few criminals? Rwanda,kenya Uganda passport kupata ni rahisi mno na watu kwa maelfu huondoka kutafuta pesa za kigeni nje na wanaingizia nchi zao mamilioni ya pesa za kigeni wanazotuma nchini.Kitengo cha passport ni.moja ya kikwazo cha pesa za kigeni kuongezeka. Nchini.Unakomaa eti mtu anaenda kufanya nini alete sijui barua sijui nini ujinga mtupu kwani mtu hawezi kuondoka kwenda kutafuta fursa? Wewe mpe passport hayo maswali akaulizwe nchi anakoenda .Kitengo cha passport kimegeuka kitengo kama cha visa cha nchi zingine.. documents wanazotaka ili kutoa passport ni za visa za nchi unakoenda!!Wamekuwa maofisa wa Visa!!! Wao watoe passport mengine waachie mwenye passport apambane mbele kwa mbele.Mtu anayeernda kutafuta fursa nje unataka akupe barua ya mwaliko ya nani? Serikali ikae na wizara zote Kila wizara ikiwemo ya mambo ya Ndani wajieleze mikakati yao ya kuingiza pesa za kigeni ni ipi.
suluhisho ni kuwapora wenye dollar na kuzitaifishaMAPENDEKEZO YA HATUA ZA KUCHUKUA ILI KUIMARISHA THAMANI YA SHILINGI
Utangulizi
Shilingi ya kitanzania, kama zilivyo sarafu nyingine iko prone to exposure. Hivyo hatua za mara kwa mara za kila aina huhitajika ili kulinda shilingi dhidi ya erosion of purchasing power!
To cut the long story short, Kuna hatua ambazo nchi inaweza kuchukua ili kuimarisha shilingi. Hatua hizo ni zile za muda mfupi na zile za muda mrefu.
Hatua za muda mfupi:
Serikali kupitia benki kuu inabidi iunde mfuko ujulikanao kama Currency Stabilization Fund.
Mfuko huu utakuwa na account mbili kama kawaida account ya Shilling na akaunti ya Dola.
Na kila akaunti itakuwa na pande mbili kama taratibu za kihasibu zinavyoelekeza. Yani upande wa Debit na upande wa Credit.
Baada ya hapo, serikali iazime pesa kutoka kwenye mabenki ya nje kwa utaratibu ufuatao:
Dola milioni mia tano with maturity of 6months at interest rate of 1-5%
Dola milioni mia tano with maturity of 12months at interest rate of 1-5%
Dola milioni mia tano with a maturity of 18months at an interest rate of 1-7%
Jumla Dola bilioni moja na nusu…
Pesa hizi zitakuwa credited kwenye Dollar account ya currency stabilization fund.
Serikali itauza pesa hizi na itazisambaza kwenye mabenki, Bureau de change na makampuni makubwa ambayo yanaruhusiwa kununua dola moja kwa moja kutoka BoT kwa bei ya Shilingi 2,100- 2,250.
Fedha hizi zitakazouzwa zitakuwa Debited kutoka kwenye account yetu ya Dola ya currency stabilization fund.
Serikali itakusanya fedha za Tsh kutokana na mauzo ambazo zitakuwa Credited kwenye akaunti yetu ya Tsh katika mfuko wetu wa currency stabilization fund.
Serikali itatunza pesa hizi kwa miezi kadhaa hadi hapo msimu ambapo korosho na mazao mengine yanayotuletea fedha za kigeni, (pia msimu wa watalii n.k) yatakuwa yamekwisha uzwa hivyo kutakua na supply kubwa ya dola.
Serikali itachukua Tsh kutoka kwenye account yetu ya Currency stabilization fund na kununua dola kwa bei isiyozidi Tsh 2,300.
Serikali itachukua dola ilizo nunua na kulipa deni la nje tulilokopa.
Serikali itafanya consolidation kujua kama tumepata faida au hasara. Kama faida imepatikana basi itaingia kwenye mfuko wa BoT. Kama hasara imepatikana itaandikwa kwenye vitabu kama Cost of economic stabilization (Not loss). Yeah ku manage uchumi kuna gharama zake. So kama serikali itabidi kugharamika kwa kutumia bilioni mia mbili au mia tatu, sio jambo baya. Uchumi ndio nchi. Na nchi ni uchumi…
Hatua hizi ni za haraka na inabidi zichukuliwe ndani ya wiki mbili ili kurejesha utulivu wa shilingi…
NB:
Mchoro ufuatao ni ufupisho wa maelezo ukitumia picha ya rejeta ya kupozea shilling.
Rejeta ni chombo kinachotumia maji kupoza mfumo utoao joto. Piga picha uko safarini mara unagundua gari inachemka kwa kuwa rejeta haina maji. Utafanyaje? Utagonga kwa jirani wa maeneo hayo kuomba maji. Jirani atakwambia haya maji siyauzi. Nakupa lita mbili za maji uweke kwenye rejeta yako. Ukirudi urudi na maji yangu lita mbili.
Utafurahi na kuchukua maji hayo na kuweka kwenye rejeta. Utapoza mfumo wako na kumaliza safari. Ukirudi hayo maji ya kwenye rejeta yatakuwa yametumika kidogo na huenda yatakuwa yamebaki kiasi cha lita moja na nusu.
Basi utachukua nusu lita kutoka kwenye chupa yako, utachanganya na ile lita moja na nusu na kumrudishia mwenyewe lita mbili.
Kwa hiyo wewe utakuwa umefanikisha safari yako lakini utakuwa umeingia gharama kidogo ya kuongezea maji kiasi cha nusu lita ili kurejesha lita mbili uliyopewa awali. Hiyo nusu lita nyingine itakuwa imepotelea hewani kwa njia ya mvuke (volatility)…
View attachment 1034818
Good analysis, but hii itafanya kazi kama we assume our economy in open economy, kwamba BOT ikiziuzia commercial banks dola watu wengi watanunua. Je watanunua ili kufanya biashara? Je biashara zitatoka? Mi nadhani kwanza serikali ihakikishe kuwa we have open economy yaan iruhusu inflow na outflow ya capital, coz few months sheria Imebana sana kutoka na dola na kuingia nazo. Pia cost of doing business is so high kwa sasa nachelea kusema model yako inaweza leta gharama kubwa ya currency stabilization kuliko kuacha forces za supply and demand kufanya kazi.MAPENDEKEZO YA HATUA ZA KUCHUKUA ILI KUIMARISHA THAMANI YA SHILINGI
Utangulizi
Shilingi ya kitanzania, kama zilivyo sarafu nyingine iko prone to exposure. Hivyo hatua za mara kwa mara za kila aina huhitajika ili kulinda shilingi dhidi ya erosion of purchasing power!
To cut the long story short, Kuna hatua ambazo nchi inaweza kuchukua ili kuimarisha shilingi. Hatua hizo ni zile za muda mfupi na zile za muda mrefu.
Hatua za muda mfupi:
Serikali kupitia benki kuu inabidi iunde mfuko ujulikanao kama Currency Stabilization Fund.
Mfuko huu utakuwa na account mbili kama kawaida account ya Shilling na akaunti ya Dola.
Na kila akaunti itakuwa na pande mbili kama taratibu za kihasibu zinavyoelekeza. Yani upande wa Debit na upande wa Credit.
Baada ya hapo, serikali iazime pesa kutoka kwenye mabenki ya nje kwa utaratibu ufuatao:
Dola milioni mia tano with maturity of 6months at interest rate of 1-5%
Dola milioni mia tano with maturity of 12months at interest rate of 1-5%
Dola milioni mia tano with a maturity of 18months at an interest rate of 1-7%
Jumla Dola bilioni moja na nusu…
Pesa hizi zitakuwa credited kwenye Dollar account ya currency stabilization fund.
Serikali itauza pesa hizi na itazisambaza kwenye mabenki, Bureau de change na makampuni makubwa ambayo yanaruhusiwa kununua dola moja kwa moja kutoka BoT kwa bei ya Shilingi 2,100- 2,250.
Fedha hizi zitakazouzwa zitakuwa Debited kutoka kwenye account yetu ya Dola ya currency stabilization fund.
Serikali itakusanya fedha za Tsh kutokana na mauzo ambazo zitakuwa Credited kwenye akaunti yetu ya Tsh katika mfuko wetu wa currency stabilization fund.
Serikali itatunza pesa hizi kwa miezi kadhaa hadi hapo msimu ambapo korosho na mazao mengine yanayotuletea fedha za kigeni, (pia msimu wa watalii n.k) yatakuwa yamekwisha uzwa hivyo kutakua na supply kubwa ya dola.
Serikali itachukua Tsh kutoka kwenye account yetu ya Currency stabilization fund na kununua dola kwa bei isiyozidi Tsh 2,300.
Serikali itachukua dola ilizo nunua na kulipa deni la nje tulilokopa.
Serikali itafanya consolidation kujua kama tumepata faida au hasara. Kama faida imepatikana basi itaingia kwenye mfuko wa BoT. Kama hasara imepatikana itaandikwa kwenye vitabu kama Cost of economic stabilization (Not loss). Yeah ku manage uchumi kuna gharama zake. So kama serikali itabidi kugharamika kwa kutumia bilioni mia mbili au mia tatu, sio jambo baya. Uchumi ndio nchi. Na nchi ni uchumi…
Hatua hizi ni za haraka na inabidi zichukuliwe ndani ya wiki mbili ili kurejesha utulivu wa shilingi…
NB:
Mchoro ufuatao ni ufupisho wa maelezo ukitumia picha ya rejeta ya kupozea shilling.
Rejeta ni chombo kinachotumia maji kupoza mfumo utoao joto. Piga picha uko safarini mara unagundua gari inachemka kwa kuwa rejeta haina maji. Utafanyaje? Utagonga kwa jirani wa maeneo hayo kuomba maji. Jirani atakwambia haya maji siyauzi. Nakupa lita mbili za maji uweke kwenye rejeta yako. Ukirudi urudi na maji yangu lita mbili.
Utafurahi na kuchukua maji hayo na kuweka kwenye rejeta. Utapoza mfumo wako na kumaliza safari. Ukirudi hayo maji ya kwenye rejeta yatakuwa yametumika kidogo na huenda yatakuwa yamebaki kiasi cha lita moja na nusu.
Basi utachukua nusu lita kutoka kwenye chupa yako, utachanganya na ile lita moja na nusu na kumrudishia mwenyewe lita mbili.
Kwa hiyo wewe utakuwa umefanikisha safari yako lakini utakuwa umeingia gharama kidogo ya kuongezea maji kiasi cha nusu lita ili kurejesha lita mbili uliyopewa awali. Hiyo nusu lita nyingine itakuwa imepotelea hewani kwa njia ya mvuke (volatility)…
View attachment 1034818
Matibabu ya Lisu pia yanachangia thamani ya shilingi kushuka
Yep! Maji ni standard liquid. Ile coolant nayo ni liquid ambayo ni maji yaliyowekewa impurities ili ku raise boiling point. Hii hupunguza upotevu wa maji. Wakati maji yanachemka katika jotoridi la 100 degrees Celsius, ile coolant boilng point yake inaweza ikawa kwenye 108 deg Celsius hivyo kupunguza kasi ya evaporation...
Nimeiluliz maji ni standard liquid kupoozea injini
Grammar is too general, I think it has something to do with "Structure". It's the problem that affects many people.Grammar is the most difficult part of English... I believe am poor on that...
Sikio Gani hilo linalokufa wakati dawa zipo