Mapendekezo ya katiba mpya CUF

Geza Ulole

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2009
Posts
65,136
Reaction score
91,917
Je, kuna mtu ana copy ya draft constitution ya CUF aliyokabidhiwa katibu mkuu wizara ya sheria na katiba, Mr Oliver Mhaiki.

Maana naskia ina mapendekezo kwenye vifungu 36 na ina vipengele 130 katika kurasa 88. Ningepanda kuisoma...

BTW hongera kwa kujaribu kuandamana wana CUF
 
CUF wameitisha press conference kesho saa 5 asubuhi ofisini kwao Buguruni ambapo watagawa nakala za katiba hiyo mbadala kwa media.
 
CUF wameitisha press conference kesho saa 5 asubuhi ofisini kwao Buguruni ambapo watagawa nakala za katiba hiyo mbadala kwa media.
sasa hizo nakala na sisi tulio ng'ambo itakuwaje? hamna e-copy?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…