Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kimetoa mapendekezo kwa Mamlaka za Serikali na Uchaguzi yanayoshauri kufanyiwa maboresho katika baadhi ya vipengele kwenye Sheria za Uchaguzi
Mapendekezo hayo ni
1. Serikali itoe ruhusa Kisheria kwa Watanzania wanaoishi nje ya Nchi kuweza kupiga Kura kwenye Uchaguzi Mkuu
2. Serikali ifanye marekebisho kwenye Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani kwa kuweka takwa la Ulazima wa kufanya Midahalo ya Wagombea katika Uchaguzi
3. Serikali iwasilishe Muswada wa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba ili kuruhusu baadhi ya Masuala ya Kiuchaguzi yafanyiwe maboresho
4. Serikali iwasilishe Muswada wa Sheria ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji kama ilivyoainishwa kwenye Sheria ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi
5. Serikali itekeleze Maamuzi ya Mahakama Kuu katika Shauri la Tito Elia Magoti dhidi ya Tume ya Taifa Uchaguzi iliyowapa Wafungwa Haki ya Kupiga Kura