Astashahada/cheti wapewe 700,000/=na wale wa astashada iweje
Wajumbe wa bodi ya mishahara wapo humu wataona. Naamini hili linawezekana maana muda sio mrefu tutaanza kuuza umeme nje ya nchi kutoka STIGLERSawa.
Ila ikumbukwe kuwa mtumishi yeyote anayekaa kusubiria nyongeza ya mshahara ndani ya hii miaka 10 ya Mheshimiwa basi huyo mtumishi hana akili timamu.
Namfananisha na msafiri anayekwenda Arusha kutokea Dar lakini asubuhi anaacha kwenda Ubungo anakwenda Kigamboni
Hiyo take home yako ni sawa na take home ya mtumishi anaekaribia kistaafu kwa sasaNinavyofahamu Mimi kwa uzoefu wa kuwafanyia '"intelijensia" ya muda mrefu , Mwalimu ni yule wa "astashàhada" hao wengine ni mbwembwe tu !
Napendekeza waanze na "take-home" ya Milioni 1.5 !
Hiko kipato inabidi kiwe kikubwa kuliko mshahara..... Otherwise kuna watu unawatosha fresh tu....Mshahara hujawahi kumfanya mtu aishi vizuri, ukilipwa hata laki lakini una kipato kingine unaishi vizuri sana.
Viwango vya sasa hivi kwa level ya degreeKwan sasa hv mishahara ikoje kwenye hizo viwango vya elimu kwa yule anayepokea mshahara wa chini na yule anayepokea mshahara wa juu.?
Hakuna mwenye tamaa ila sio sawa malipo yatofautiane sanaMuwe wazalendo na mpunguze tamaa ya pesa, mkijengewa flover, SGR na vituo vya afya hiyo ni zaidi ya nyongeza ya mshahara.
Hata Rais aliwahi kusema mshahara wake haumtoshi.
Watumishi wa umma