Mapendekezo ya mishahara kwa Watumishi Tanzania

Huyo mzee mwenye roho mbaya hana mpango wa kuwaongezea mshahara hata kiduchu, sana sana anawaza kupunguza mshahara, kuongeza kodi, na kuwa'prune' wengi wenu.

Nenda kalime matikiti, hayo mawazo mengine achana nayo. Ushauri huu utakufaa sana.
Ngoja tuone mitano hii ya ngwe ya mwisho
 
Hawa ndio wanaoanza kumfundisha mtoto kuwa hii ni "a" na jinsi inavyoandikwa sio issue ndogo
 
Huyo mzee mwenye roho mbaya hana mpango wa kuwaongezea mshahara hata kiduchu, sana sana anawaza kupunguza mshahara, kuongeza kodi, na kuwa'prune' wengi wenu.

Nenda kalime matikiti, hayo mawazo mengine achana nayo. Ushauri huu utakufaa sana.
Hata Kigwangwala analima lakini kazi ya ubunge haachi mkuu
 
Mshahara hujawahi kumfanya mtu aishi vizuri, ukilipwa hata laki lakini una kipato kingine unaishi vizuri sana.
Sio lazima kuishi vizuri ila walau umudu vitu basic kama malazi, chakula, mavazi n.k inatosha.
 
Nahisi balaza la mawaziri litakuwa dogo maana mpaka sasa ni mawaziri watatu tu na nchi inaendelea.
Nchi inaendeshwa vyema na makatibu wakuu ambao ni wanataaluma.
kuhusu mishahara tuongeze tija kwanza lakini kuna tume ya mishahara aliyoiunda waziri mkuu sijui haina ukomo.
 
Mshahara hujawahi kumfanya mtu aishi vizuri, ukilipwa hata laki lakini una kipato kingine unaishi vizuri sana.
Inategemea na mishahara gani,Pogba analipwa milion kama 500 kwa wiki huyo haishi vizuri,Gavana wa BOT,Mkurugenzi wa Bandari,kamishna wa TRA mishahara yao isiwafanye waishi vizur kwl,

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
Huyo jamaa amekariri tu kuwa MTU hawezi kuishi kwa mshahara. Maximo aliyekuwa kocha wa taifa stars hakuwa hata na bustani ya mchicha na aliishi 5 star hotel muda wote akiwa Tanzania.
Tuisila Kisinda au Chama wana maduka?
 
Tija gani inatakiwa hebu watuweke wazi tujue. Mimi naona tija imekuwepo kwa miaka mitano mfululizo.
1. Mapato yameongezeka
2. Ufaulu umeongezeka
3. Vifo vya wajawazito vimepungua
Niñi kingine kinatakiwa?
 
Huyo jamaa amekariri tu kuwa MTU hawezi kuishi kwa mshahara. Maximo aliyekuwa kocha wa taifa stars hakuwa hata na bustani ya mchicha na aliishi 5 star hotel muda wote akiwa Tanzania.
Tuisila Kisinda au Chama wana maduka?
Motivation speaker hao,mtu analipwa mil 36 kwa mwezi,we na genge lako la bangi utaipata lini

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu walimu wa astashahada wameandaliwa kwenye vyuo vyao kumfundisha mtoto "a, e i,..."

Ila hawa wa shahada hawajaandaliwa namna hiyo, kwa hiyo stegemei kama watakuwa na zao linaloanana.
Hawa waliokuwa sekondari wakahamishiwa shule za msingi nadhani walihitaji kupata mafunzo kidogo ila waendane na matini ya shule za msingi.
 
waongezewe mishahara ya nini? wakati bado serikali inatekeleza mipango mingi ya maendeleo kama vile; ujenzi wa miundo mbinu mbalimbali ya reli za kisasa, barabara na mabwawa ya umeme
Tena yafaa waonyeshe zaidi uzalendo wa taifa lao kwa kupunguziwa mishahara yao na viinua mgongo vyao ili kusudi pesa nyingi za kuharakisha maendeleo ya kitaifa ziweze kupatikana vzr kwa maslahi mapana zaidi ya taifa letu. Tutangulize utaifa mbele.
 
Utaifa ungeanza na wabunge pamoja na mawaziri wote walipwe laki 7 kama watumishi wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…