Kuna kila taarifa za uhakika kuwa mbio za kusaka ulaji wa wizara zinakamilika saa mbili na nusu kuanzia sasa. Wateule mlioenda mlingotini kuomba dua sasa tazameni juu mngojee kulia ama kucheka.
Alibaba(JK) and 40 Thieves
sitegemei lolote jipya..... same old same old story
we chezo hujaloga kama mimi, nimeenda zaire lazima anipe wizara ya maliasili
tafadhali mkuu chanzoKuna kila taarifa za uhakika kuwa mbio za kusaka ulaji wa wizara zinakamilika saa mbili na nusu kuanzia sasa. Wateule mlioenda mlingotini kuomba dua sasa tazameni juu mngojee kulia ama kucheka.
hakuna jipya hapo ni miaka mi 5 ya ufisadi kwa kwenda mbele!Jipya lipo shaka ondoa kijana si tumemchagua kwa miaka mitano mingine?
Alibaba(JK) and 40 Thieves
Mheshimiwa Pinda anahojiwa sasa na TBC FM kuwa alijisikia baada ya kuchaguliwa kuwa PM na nini matarajio ya Watanzania toka kwake, anasisitiza kuwa changamoto kubwa ni kujaribu kutafuta mbinu za kuuondoa umasikini na anasisitiza serikali inatakiwa kulitambua jukumu hili