Mapendekezo ya slogan dhidi ya Kaizer Chiefs

Mapendekezo ya slogan dhidi ya Kaizer Chiefs

KAGAMEE

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2013
Posts
4,457
Reaction score
5,454
Habari wanamichezo na wapenda soka kwa ujumla. Poleni kwa yaliyoikuta Nchi yetu huko kwa kwa Makaburu.

Jumamosi ni siku ambayo tutaenda kuishangaza dunia kwa kuichakaza vibaya mno Kaizer siyo (lazima uamini)lakini ipo hvyo. Last time tulikuwa na Slogan WAR IN DAR, POINT OF NO RETURN na zingne nyingi.

Safari hii unapendekeza tuingie na Slogan ipi?

Karibuni.
 
Itumike hii
IMG-20210516-WA0006.jpg


Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Advanced mass beheadings in public arena for foreigners, especially Southafricans. The case study of Kaizer Chiefs footballers.
 
Wana Simba mje basi tusaidiane mawazo mbona amuonekani,au mtandao unasumbua huko?
Minashauri iwe"Vita vya maangamizi"
 
Wanasimba wenzangu hawaonekani Kila wakitafutwa wote wamezima simu na hawajibu sms,kumbe na hapa jukwaani napo ni hivohivo...
 
Slogan iendane na game approach.

All out attack ita expose Simba kufungwa kwenye counter attacks.

Simba ikigongwa hata goli moja tu, biashara itakuwa imeishia hapo.

Balance ya kulinda na kufunga goli tano ni mission next to impossible japo inawezekana.
 
Habari wanamichezo na wapenda soka kwa ujumla.Poleni kwa yaliyoikuta Nchi yetu huko kwa kwa Makaburu.

Jumamosi ni siku ambayo tutaenda kuishangaza dunia kwa kuichakaza vibaya mno Kaizer siyo (lazima uamini)lakini ipo hvyo.Last time tulikuwa na Slogan WAR IN DAR,POINT OF NO RETURN na zingne nyingi.Safari hii unapendekeza tuingie na Slogan ipi?

Karibuni.
Mnapigwa kwenu si chini ya mbili


[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Never Give Up...

Hii game ya Liver vs Barcelona Salaha alivaa T-shirt imeandikwa hivi na wakashinda asee
 
Back
Top Bottom