GeniusBrain
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 4,315
- 309
Tume ijayo ya uchaguzi inapendekezwa iwe na wajumbe wafuatao, ambapo majina yao yatawasilishwa kwa Mh. Rais kwa ajili ya uteuzi wa mwisho:
1. Dr Wilbroad Slaa ( Mwenyekiti)
2. F. Mbowe ( Makamu Mwenyekiti)
3. Z. Kabwe ( Mkurugenzi )
4. Shibuda ( Mjumbe )
5. Mpendazoe ( Mjumbe )
6. T. Lissu ( Mjumbe )
7. Ndesamburo ( Mjumbe)
Tume hii itaanza kazi mara moja baada ya Rais mpya kuapishwa.
Hili ni suala serious san asio mzaha kama unavyofikiri mkuu.