Mapendekezo ya tume ya Haki jinai yasisimamiwe na hawa wazee; umri umeenda wanahitaji kupumzika. Kazi hii wapewe vijana ni ngumu sana.

Kweli wamezeeka. Mahammed Othman Chande jana alikuwa akichapia chapia sana kwa sababu ya uzee. Wapumzike. Wameshapiga kazi na kulifikisha Taifa hapa. Haikuwa hivi wao wakiwa vijana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…