Mapendekezo ya wajumbe wa bunge la katiba, 118 walijipendkeza wenyewe

Mapendekezo ya wajumbe wa bunge la katiba, 118 walijipendkeza wenyewe

TataMadiba

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2014
Posts
9,866
Reaction score
5,747
Wakati akitangaza majina ya wajumbe wateule wa bunge maalum la Katiba kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kaimu Katibu Mkuu Kiongozi, Dr. Florens Turuka alisema watu 118 walijipendekeza wenyewe majina yao. Dr. Turuka alisema kufanya hivyo ilikuwa ni kinyume cha sheria na hivyo hakuna hata mmoja aliyeteuliwa kutokana na majina hayo 118.

Mytake: Hawa walikuwa wanataka kwenda Bungeni kwa maslahi ya watanzania au maslahi yao binafsi? Ingependeza sana kama majina hayo yawekwe wazi ili tuwajue watu hao ili kujihadhari nao kwa vile ni watu hatari sana katika mstakabali wa Taifa.
 
Back
Top Bottom