Unaweka hoja na kujipinga mwenyewe. Hao wawili wa chini tofauti yao na Gwajima ni ipi. Au umekula kubel mkuu.Gwajima angefaa sana ila hana jimbo, waziri mkuu lazima awe mbunge mwenye jimbo sio mbunge wa kuchaguliwa
hivyo hii ni list
View attachment 3682606
View attachment 3682605
View attachment 3682604
Hakuna anayefaa hata m1 hapo.Kufuatia clips zinazosambaa lolote linaweza kutokea
Haya ni mapendekezo
View attachment 3682606
View attachment 3682608
Kwa tz wala sio scandal... Kama bwana nyara video yake na underage ilivuja na bado kala teuzi....Kufuatia clips zinazosambaa lolote linaweza kutokea
Haya ni mapendekezo
View attachment 3682606
View attachment 3682608
Ridhi viti maalum?Hawa ni viti maalumu, hawana sifa ya kuwa waziri mkuu. Angalia wa kutoka Jimboni.
Sema dully kajua kucheza na huyo mascalf…. 😹
Veggies imeanza safisha safisha hakuna anayepona..!!
Boss wako yupi?Sjapenda kuona boss wangu anachafuliwa kienyeji namna hiyo.
"Wanaokufa na wafe, wanaoangamia na waangamie, na wale wanaobaki kila mmoja amle mwenzake nyama."Sema dully kajua kucheza na huyo mascalf…. 😹
Veggies imeanza safisha safisha hakuna anayepona..!!
Inshallah, in Jesus name..!!"Wanaokufa na wafe, wanaoangamia na waangamie, na wale wanaobaki kila mmoja amle mwenzake nyama."
Na lile zaga lake mnampeleka?Mwigulu mpaka 2030.
Hakuna mabadiliko mpaka tumpeleke Chamwino
Huyu BOSS WA TAMISEMIBoss wako yupi?