Mapendekezo yangu kwa katiba ijayo,kabla ya uchaguzi 2030

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
23,234
Reaction score
28,473
Kwa maoni yangu binafsi,
Sisi wananchi tuchague,wabunge,madiwani na wenyeviti serekali ya mtaa!
----
Wabunge wao ndiyo wawe na nafasi/ mamlaka ya kupiga kura kwa kumchagua rais wa Jamhuri,hili limekaaje?
-----
Vita vya kufa na kupona vitakuwepo kwenye nafasi ya ubunge! Ambayo ndiyo ngazi ya msingi na muhimu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…