Mapendekezo yangu kwenye katiba mpya juu ya ahadi zisizotekelezeka za viongozi

mwakabana

Member
Joined
Dec 15, 2010
Posts
31
Reaction score
7
napendekeza tuweke sheria ili mtu anayegombea atoe ahadi anazoweza kutekeleza alafu aandike na ale kiapo cha kutekeleza. Alafu iwe ka sheria ili asipotekeleza asiruhusiwe tena kugombea coz wat i see wengi wanatoa ahadi hewa na wen time comes to end wanarudi na kuwarubuni wapigakura then hii ikiwa sheria itasaidia kuondoa huu mzigo kwa wananchi. If we are serious hii ni bonge la trick ya kuwabana coz wamezidi kuudanganya uma pls take note find me on 0654864518
 
Ahadi hewa ni part ya politics.
 
yaani we unasubiri atudanganye wee mpaka uchaguzi mwingine? sema atimuliwe kwa maana ameshindwa kazi. Hatuwezi tena kusubiri mpaka gari lidumbukizwe mtaroni tuanze kuhangaika kulitoa kama sasa!! Ila umesema vema sana nakuunga mkono.
 
Back
Top Bottom