Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna tofauti gani kati ya NGONO na MAPENZI?
Pia ngono ni kwa mtu hovyo hovyo tuNgono ni tendo la kujamiana! (kuingiza uume ndani ya uke) LAKINI; Mapenzi, ni mvuto na shauku ya ndani juu ya kupenda mtu fulani au kitu. Neno mapenzi halina maana ya kufanya ngono bali ni maana hasi iliyotengenezwa na watu kutokana na hali hyo kuelekezwa kwa jinsia tofauti kwa kusudi la kutaka uhusiano wa kingono! Ova.
Kuna tofauti gani kati ya NGONO na MAPENZI?
Teh zinatkfautiana kwa kufanya yan inafanya nankuna kufanya mapenzi
kuna kufanya ngono
na kuna kujaamiana....
Eti NGONO ni kama kubakana vile yaani pupa, bila utaratibu na MAPENZI kutomasana hadi kuchuruzana!
Itendee haki xmas yako, nasisitiza tu!!
:eyebrows:.....Nakubaliana na wewe!Ngono inanunuliwa mapenzi hayanunuliwi.