Mapendo

Eti NGONO ni kama kubakana vile yaani pupa, bila utaratibu na MAPENZI kutomasana hadi kuchuruzana!
 
Mh tafuta dictionary mkuu utapata majibu mazuriiiiiiiiiii kwa mimi mh
napita tu
 
mbona unajiuliza na kujijibu mwenyewe?
 
Wengine hueleweshwa kwa njia hii;
'mapenzi yanaweza kuwepo bila ngono eg. Mama na mwana; pia ngono inaweza kuwepo bila mapenzi eg, kununua changudoa. Lakini pia mapenzi na ngono vyaweza kuwepo simulteniously. Eg, Mme na mke' ni mtazamo.
 
Kuna tofauti gani kati ya NGONO na MAPENZI?

Ngono ni tendo la kujamiana! (kuingiza uume ndani ya uke) LAKINI; Mapenzi, ni mvuto na shauku ya ndani juu ya kupenda mtu fulani au kitu. Neno mapenzi halina maana ya kufanya ngono bali ni maana hasi iliyotengenezwa na watu kutokana na hali hyo kuelekezwa kwa jinsia tofauti kwa kusudi la kutaka uhusiano wa kingono! Ova.
 
Pia ngono ni kwa mtu hovyo hovyo tu
 
kuna kufanya mapenzi
kuna kufanya ngono
na kuna kujaamiana....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…