Mapeni Yafika Tanzania



Thank you!! lakini hii naona haikustaili kukaa kwenye Jukwaa la Siasa!!ungeipost sehemu nyingine.
 

Mbona inaelekea kama haya ni mambo ya huko huko majuu?Nimejaza na kila nikiandika namba zangu za simu inagoma...

Tanzocash naomba nisaidie.
 
Kuwa mwangalifu ni kitu muhimu sana, hakuna "short cut" kuukimbia umasikini. Katika huu muda tunaopita kwa "financial crisis" upewe fedha kimchezo mchezo. Tuwe waangalifu tutaibiwa, badala ya mwisho kutabasamu tutakuwa ni wenye kusaga meno na machozi juu.
 

JF imeingiliwa na utapeli. Hiyo site ni madudu yenye lengo la kuibia waungwana. Inatumia fake security certificate.

Moderator hebu iangalie hii posting ya tanzocash maana ndio tu amejiunga na tayari ameshapost madudu. Otherwise tanzocash tufahamishe kama wewe umeshajiunga na umefanikiwa kupata hizo $$$.
 

Nashukuru kwa kutushtua.

Nashauri msifuate links toka kwa members wanaoingia ghafla na post ya kwanza tu wakaanza kutoa links za vitu ili mfuate hata kama ni kwa kiswahili.

Kuna spammer mmoja mswahili (namfahamu) anatumia ISP ambaye watanzania wengi walio Dar wanamtumia hivyo akiwa banned inawaathiri wengi. Hata hivyo tutakuwa makini zaidi... Ni wakati sasa wa kuwa online 24hrs dedicated na kusoma kila post inayotumwa JF.

We're alive!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…