Mapenz why! yanawatesa vijana wakisasa...

Sumu

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2010
Posts
7,001
Reaction score
6,194
Mapenz yanatutesa vijana wakisasa.. kutokana na research yangu ya mdamrefu nimegundua kitumapenz kinawatesa sana vijana wakisasa na hasa wa kiafrika.. 1-Ukabila..,uliwasaidia sana wazee wetu kwasababu familia ya mme/mke husuluisha migogoro katika uhusiano kwa moyo mmoja si kama sahivi ikitokea mme/mke akikosea kati yafamilia mmoja iliyo kosewa huanza kusema kabila hilo ndiyo walivyo..,ingekuwa makabila ya nafanana hawez kushutumu kabila lake mwenyewe. 2-Udini..,naoulisaidia hatakatika mausiano ya mme/mke coz watakuwa wanashirikiana kusali/kuswali pamoja na misingi ya Dini inaendana nakulea watoto inakuwa rahisi kuliko Dini kutofautiana,mgogoro ukitokea katika uhusiano inakuwa vigumu kusuluhishwa na familia mme/mke coz mme/mke hatasema siwez kwenda kanisani/msikitini au kwenu kusuluhishwa. 3-KUTOKUJUANA VIZURI..hapa ndipo wenzetu walipo tushinda mapenz kwao huanza wakiwa wadogo na kama marafiki mpaka wakifikia umri wakubalehe huwa wapenz kutokana namambo mengi walioshirikiana tokea wakiwa wadogo na mpaka wanakuwa nivigumu kuachana coz watakuwa washajuana tabia zao na familia zao zinajuana kwa mda mrefu na kuwa kama ndugu...,wahafrika uhusiano mwingi huanza wakiwa wakubwa washabalehe so inawezekana mtu akaficha tabia yake halisi mpaka utakapo funga ndoa pasipo kujua coz hujakuwa nae na huwa naamini yakuwa mme/mke asiye kujua tokea utotoni nivigumu sana kukuonea huruma wakimapenz mfano kunausemi husema wapenz wengi wakiacha 'wewe siyo wakwanza na wala siyo wamwisho/tumekutana kimjini mjini tuachane kimjini mjini' haya sasa kazi kwenu ambao mpaka sasa uja oa au kuolewa ni vizuri ukafata maoni ya research yangu... maoni yanaitajika ilikurekebishana tusiwe kila siku kati ya mmja wetu analia au kukosa raha kisa Mapenz..
 
Kweli vijana wadogo wanateswa na hii kitu!
 
Now days no money no honey,so. First get Money,then you will have the POWER after getting the power you can get a woman.vinginevyo ni Maumivu tu
 
Tatizo siku hizi wanatamaniana badala ya kupendana.
 
Halafu unajua nimeona watu wengi waliooana kabila na dini zinaendana huwa wanadumu sana huo ni mtizamo wanu kwa watu ninawafahamu mimi
 
ujue tatizo ni kuwa mtu ni mwafrika ila anataka kujidai wa mbele,love ly an african n u will enjoy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…