Tatizo sigala
Member
- Jan 27, 2013
- 45
- 5
Habar wapendwa, mim nina rafik wa kike ambae nilitoka nae tu nje ya ndoa baada ya kutiana akaomba namba ya cm, akawa anapiga na kuniambia ananipenda ilhal anajua nina familia, nimejaribu kumkataa lakn naona kushndwa ingawa cjalala nae tangu cku hyo ila yeye amedai atafanya lolote hata kunitoa kafara du naogopa nifanyaje?