Nawatakia mwaka mpya mwema 2012,kwa wale wenzangu wanaotarajia kuoa mwakani mwezi wa sita kama mimi,nawatakia mapenzi mema kwa wake zenu.nashukuru jf imenisaidia kidogo kudumu na mamsup though tulikuwa na mapito,but tumeyashinda na tunasonga mbele.nawashukuru wote,happy new year kwenu nyote.