Mapenzi au Urafiki?

Mapenzi au Urafiki?

Kila kitu kina nafasi yake, inategemea mazingila ya urafiki na mpenzi, unaweza kuwa na mpenzi bora yaani unamjua kabisa na hata ikitokea amebalika inakuwa tu kama bahati mbaya,lkn unaweza kuwa na rafiki akawa bora sana. Unaweza mpa dili rafiki akapiga pesa akaja mshawishi mpenzi wako wakakusaliti , hapo aliki kumkichwa my dear
 
Back
Top Bottom