Mapenzi bila kufanya mapenzi hata hainogi....!!!

kufwanyana kwenye mapenzi is all fun and games mpaka mtu apigwe miti miaka 11 kama cassie wa diddy halafu kuwe no ndoa wala pete ya uchumba, hahah, kuweni makini gawagawa hujaga kulaumisha nafsi za watu
Only if uko desperate na ndoa, otherwise kula raha maisha ndo haya haya
 
Itakuwa gongo, lubisi, dengelua pamoja na kasongo mkuu
 
Ankali kila kitu tushindwe hata mapenzi pia?
Soka hatuwezi, movie hakuna, siasa zimekua movie za kutekana, heri tuwekeze kwenye mapenzi
Kweli Ankali inabidi kuwe ni ma shindano ya dunia kwenye hili naamini vijana hawataniangusha!!!!!....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…