Mapenzi bila tendo la ndoa inakuwaje??

wewe wasema mamaa ZD ..

Kila kitu huwa kinaanza kwenye mawazo.Na kupanga ni kuchagua.Mkiamua hatuwezi subiri basi hamtaweza kwa vile mmeamua na mkiamua tunaweza basi mtaweza.Tatizo dunia ya sasa tunapenda kuiga saaaaaaaaaaaaaana.Eti kwa vile watu wote wanafanya basi na mimi nifanye kama wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…