Mapenzi bwana!!!! Yataka moyo

chambimagaka

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2017
Posts
288
Reaction score
338
Jamaa kaamka asubuhi, kavaa track suit na kumuamsha mkewe!

MUME: Amka twende jogging mke wangu? [emoji4]
MKE: Alaaa kwa hiyo una maana mi tipwatipwa?[emoji19]

MUME: Hapana si hivyo jogging ni nzuri kwa afya. [emoji54]
MKE: Kwa hiyo una maana mi mgonjwa? [emoji53]

MUME: Basi yaishe endelea kulala
MKE: Kwa hiyo unaniona mi mvivu sana sio?

MUME: Hujanielewa mpenzi wangu sikuwa na maana hiyo baby [emoji47]
MKE: Kwa hiyo mie mjinga mpaka nashindwa kukuelewa?[emoji40]
MUME: Jamani mi sijasema hilo[emoji20]
MKE: Kwa hiyo mie muongo?

MUME: Chonde tusiendeleze haya asubuhi namna hii[emoji21]
MKE: Kwa hiyo mie ndio naendeleza ugomvi?[emoji36]

MUME: Sikia we lala mie naenda jogging.[emoji43]
MKE: Ndio zako hizo mambo yote unafanya peke yako hunishirikishi"

MUME: Unajua nimeanza kusikia kizunguzungu
MKE: Unaona nikiongea kidogo unakimbilia kuumwa, mbinafsi sana wewe...

MUME: Basi ngoja tu nilale siendi jogging
Mke: Kwahiyo ulikua unanijaribu?

[emoji27][emoji27][emoji27][emoji27][emoji27][emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]
Wanawake Mungu anawaona [emoji16][emoji16][emoji16]hahahahhahah
 
Yaani mke akisha fikia hatua hii basi tena ndoa byee byee
 
[emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…