Anyway though looks like a joke, lakini yaliyomo ndani ni mafundisho mazuri sana kwenye mahisiano ya ndoa.....! I don't think ni kitu cha kuchekesha kivile bali cha kufundisha!
Nilimsikiliza Mch. Rwakatare wakati akifundisha wanandoa kwenye Semina mwaka huu ambapo mkuu wa Wilaya ya Temeke Ndg Patrick Tsele alikuwa mgeni rasmi pia Waziri Simba alihudhuria, she said quite the similar words!
So mwenye macho tazama vizuri na unatishe hayo kwenye ubongo!
Cheers
Sikujua kama huwa unasali kwa Mh Dr Rev Getrude Rwakatare!
Sikujua kama huwa unasali kwa Mh Dr Rev Getrude Rwakatare!
Very nice article yakuingwa kwa kweli! Mbona ndoa zitakuwa ndoa bora na sio bora ndoa?