Yahemovich
Senior Member
- Jan 20, 2011
- 170
- 3
CRAP!Mambo ya kulebo makabila yamepitwa na wakati!
Jamani kunajamaa yangu alimpata binti mmoja miezi minne iliyopita wakapeana sana maluv duvi sasa wameachana ghafla jana amepigiwa simu na dada yake wakati wakiagana akaambiwa "msalimie wifi yangu" akajibu kuwa ashamwacha kwasababu alianza kujifunza uongo dada yake akamwambia "wanaume wakichaga ndivyo mlivyo, hamjui mapenzi" sasa Je ni kweli wanaume wakichaga hawajui mapenzi?
:disapointed::disapointed:Jamani kunajamaa yangu alimpata binti mmoja miezi minne iliyopita wakapeana sana maluv duvi sasa wameachana ghafla jana amepigiwa simu na dada yake wakati wakiagana akaambiwa "msalimie wifi yangu" akajibu kuwa ashamwacha kwasababu alianza kujifunza uongo dada yake akamwambia "wanaume wakichaga ndivyo mlivyo, hamjui mapenzi" sasa Je ni kweli wanaume wakichaga hawajui mapenzi?
ni kweli hawajui mapenzi wao wanajali sana pesa na mali. mapenzi kwao ni optional kwao
CRAP!Mambo ya kulebo makabila yamepitwa na wakati!
mapenzi ya siku hizi yanahitaji sana vitu hivyo. hatya wanaoimba bongo fleva wameshaimba sana kuhusiana na hilo. kweli mapenzi hawajui lakini mali zao zinawavutia wadada kibao.
hmm! Lizzy inaonekana we mkali, eeh! maana post zako..!! n'wayz hop upo guda:love:
lizz na we ni mchaga nini?
CRAP!Mambo ya kulebo makabila yamepitwa na wakati!
Ukimaliza kuuliza wanaume wa kichaga uje uulize wanaume wakiislamu au wakristu, halafu uje uulize wanaume madaktari, maafisa mipango nk, halafu wanaume wafupi au warefu na mengine meeeengi
mi nitakûulîzia wewe huenda tukadumu.
Kwangu umechelewa sana
Kwangu umechelewa sana