Mapenzi: Eti nikiolewa na maskini atanisumbua sana?

bora upate maskini wa mali,kuliko ukutane na maskini wa mawazo/akili n a roho!achana na kingo hizo,jilipue coz hakuna formula.
 
duuu pole
definition
- yangu ya masikini ni mtu ambaye hana miguu na mikono
au amekosa kiungo fulani cha mwili Je we ndo unamtafuta mtu wa namana hiyo ?
??
yes hata me nipo sawa na afro
 

Karibu kwa kweli JFinafurahisha, unaweza usikanyage nje siku nzima siku za week end
 

mwambie sitakutesa kabisa
 
Mi bado sijajua huyo maskini mnayemuongelea ni maskini wa namna gani.
Kiwete, tahira, mjinga au..........
AU kwakuwa kipato changu ni sh 500 cha kwako 1000 basi mi maskini.
Ni maskini wa aina gani huyu mnaemuongelea hapa????
Dada maskini tu yaani hana kipato!
 

anaweza akakusumbua au asikusumbue. Kikubwa upate yule atakayekuwa amekupenda kwa dhati, unaweza ukapata sharobaro akakuchuna akachapa lapa.
Upate unayeendana nae umri. Ukimzidi umri inaweza ikasumbua kwenye mahusiano yenu hasa kwa upande wake.
Unaposema kumlea, sio umuweke ndani awe baba wa nyumbani, unaweza kumfungulia biashara.
Hongera kwa moyo huo. Mimi hata siwezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…