Mapenzi fake na SEX fake! Yanachosha kwel kwel...

Tumuombee kwa pamoja, you just say amen! In the Mighty name we rebuke u demon of fornication inside her. OUT!!!!!!!!!!!, maimuna OUT!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! of Erotica. Everybody say aameeeeeeeeeeeeeeeeen!

SIMBA WA TARANGA kwa sauti ya juu Ero anasema aameeeeeeeeeeeeeeeeen!
 
Last edited by a moderator:
Saw the danger........didn't take precautions......we are now drowning.......have we been caught off guard.....!!!!!???????

OLESAIDIMU huja note? hapa ni sow the danger na nikaikimbilia.

hivi unapokimbilia c precaution ni kwa sana? ni tu nimechoka! teh teh
 
Last edited by a moderator:
Kumbe ndo maana...kufeki feki balaa lake ukisha zeeka. Yaani kila siku unaona dunia inataka kukudondokea. Amua mapema which direction to taKE

si ndio mana nataka wewe ambae ni origino. unanisaidia vipi Ndahani?
 
Last edited by a moderator:

Trustme nimeku pm.
 
Last edited by a moderator:
OLESAIDIMU huja note? hapa ni sow the danger na nikaikimbilia.

hivi unapokimbilia c precaution ni kwa sana? ni tu nimechoka! teh teh

@Erotica mamii unajua nini hapo.....
Ni kwamba uliikimbilia sawa ila si ilibidi upige half way immersion .....yaani kama nyambizi sasa we sijui hapo imekuaje ukawa nanga????

Ila kwa kuwa bado uko macho hii si kazi kubwa ila unamaanisha kuchomoka???? Maana isiwe mambo ya "A diary of an obsessed black woman"
 
OLESAIDIMU Labda tunaelewa tofauti ya neno nanga, una mana gani sijaona kama

nimekuwa nanga. kumchoka labda nikupe mfano. imewahi kutokea kwako hali mbaya una pea moja ya kiatu.

unajua sasa hakikufai tena ila unavaa tu sabb huwezi kutembea peke wala na ndala.

umevichoka ila bado umebanana navo. umeelewa sasa nimechoka vipi? hapo pekundu pamenivutia inahusu nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…