nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,379
Hakuna cha kushangaza.....

really?????????

Sijaona...
Hizo hizo alama za kuuliza
Duhhhh...
Nini kimekushangaaza.... ???

wewe unaona ni normal to wish to get married

and get dirvoced ???????

Ni wazo lake tu hilo.....
Na hivyo ndivyo aatakavyo
Yeye.... kilicho normal kwako
Yaweza kuwa si normal kwa mwingine....
Kila mtu ana dunia yake ..............

and its normal in your world too??????
Na ndo maana wao kila siku wanaoana na kuachana, ili kurahisisha mambo wakaamua kuweka ndoa za mikataba kabisa!hao ndo wamarekani
so crazy......