Mapenzi haya

Mapenzi haya

Binadamu Mtakatifu

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2021
Posts
4,226
Reaction score
8,879
Jamani wanajamvi za masiku nyingi.......

Anyway kunayeyote mwenye dawa ya kuondoa tamaa ya mapenzi yaani kupenda? Maana naona ni kuwest time tuu
 
Unachanganya mafaili mkuu?

Unaongelea
1. Tamaa ya mapenzi kwa maana ya
(real love)
1. Tamaa ya mapenzi kwa maana ya ngono ( sex)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom