Mapenzi hayana baunsa

Mapenzi hayana baunsa

Vp legendary tena??!!kama yamekupata pole sana bro ndio maisha yalivyo
 
Hivi vijana wa sasa tumekuaje?
Yaan tunawazidi hadi Wanawake kulialia aaaagh
Unalilia nini sasa hasa hua ni mbunye au ni nini? Duuh asee
Acha Ujinga kijana. Uzima ulionao ni Tunu kubwa.
 
Hukawii kumkuta jamaa ana misuli kila kona analia kisa mapenzi...
 
nipo kwenye penzi zito mno yaani mpaka naona nateseka mwenzenu
Hongera mkuu, ila kuna siku isiyojulikana utakuja kulia kama jamaa huyo..


Ni swala la muda tu.
 
Back
Top Bottom