crusader_jr
JF-Expert Member
- Sep 16, 2019
- 994
- 867
Wadada warembo karibu wote hamjatulia. Watu tunataka mke aliyetulia. Atakaye endeleza miradi na kuwa mama mzuri wa familia. Mna mambo mengi sana. Na siku hizi mitandao ya social media inawaharibu zaidihuyo mdada mmoja asituharibie wote tafadhali [emoji38]
Yani ale hela yako tu na usipige kitu? Shida wanaume tuna-care sana mtu. Wakati mademu wao wana-care zaidi maslahi. Tena kwa suggestion yako atakula $$, na kuahidi kuwa wifey na bado atazingua. Una-loose mara kibaoUsingekubali kufanya nae mapenzi hadi umuoe, ona sasa amekuvua boksa amekuchezea halafu kakuacha.
Nasema uongo ndugu zangu!!?
Nilikuwa nachangamsha genge tu mkuu... ila binafsi nimejifunza kuwa wanawake huwa wanachukulia poa sana hisia zetu na uki-care sana ndivyo wanavyozidi kuchukulia poa.Yani ale hela yako tu na usipige kitu? Shida wanaume tuna-care sana mtu. Wakati mademu wao wana-care zaidi maslahi. Tena kwa suggestion yako atakula $$, na kuahidi kuwa wifey, na bado atazingua. Una-loose mara kibao
Sasa tukusaidie nini mie hata sijakuelewaAnyway hawa viumbe(ke) sijui mmepewe nini ili mjue mnapendwa damn it.
Mtu unampa mda,respect,love unatimiza mahitaji mwisho wa siku anakula kichwa ani
Man Down, I repeat man down.....send in psychological support to the victim,copy that man down....mabahari crew on the way to help.π€£π€£π€£Anyway hawa viumbe(ke) sijui mmepewe nini ili mjue mnapendwa damn it.
Mtu unampa mda,respect,love unatimiza mahitaji mwisho wa siku anakula kichwa ani
πππ. Asante mkuu kutuchangamsha. Na ku-share personal experience. Tuko pamoja. #KibandiduNdioMwendoPoa πππNilikuwa nachangamsha genge tu mkuu...ila binafsi nimejifunza kuwa wanawake huwa wanachukulia poa sana hisia zetu na uki-care sana ndivyo wanavyozidi kuchukulia poa.
Kuna ka demu nilikapenda sana, nikajitoa kwa kila kitu, kakaanza kujiona national cake nikabadili njia chap...sasa hivi ni mwendo wa kibandidu tu.
Sasa wakitulia wewe utajisaidia wapi? Si utajibiwa kama unampenda upeleke posa kwa wazazi wake?Wadada warembo karibu wote hamjatulia. Watu tunataka mke aliyetulia. Atakaye endeleza miradi na kuwa mama mzuri wa familia. Mna mambo mengi sana. Na siku hizi mitandao ya social media inawaharibu zaidi