Mapenzi hayana maana, bora niwe peke yangu

asa huoni kama unajitesa mwenyewe, me huwa najizuia kupenda Sana cuz najijua nikipenda huwa nageuka mtumwa
 
Hiii sawah,
 
Maumivu hata hayaelezeki nashukuru hakuwa na mimba yangu itakua ngumu ila ntasimama upya ila akili imestuck nimepigwa na usingizi mziitoo
Hii kitu isikie kwa mwenzako ikikupata utajuta unahisi kama umebeba dunia yote mgongoni
 
Hata hao wa one night stand pia ni watoto wa watu, basi ajiandae kuwadate watoto wa nguruwe [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] iv wee una nini lakini, nipo sehemu nyeti ila imebidi nicheke kwa sauti khaaaah,. Dea bhan lol
 
Kweli kabisa wanadhani utamu wa chai ni rangi sio sukari.
 
Acha kulia Lia bwana mdogo kwani kwenye kile kikao Kama wanaume tulikubaliana Nini huu mwaka ?
Kumbukizi ya kikao nikama ifuatavyo ÷
[emoji117] mwaka huu hakuna kumlilia mwanamke .
[emoji117] mwaka huu unakula demu unasepa kama anataka akutafute yeye.
[emoji117]mwaka huu kama mwanaume jali mambo yako sana .
[emoji117] mwaka huu usimlazimishe mtu kubaki katika maisha yako
[emoji117]mwaka huu kama wanaume tufanye kazi kwa bidii.
[emoji117]mwaka huu kulia basi au sio ndugu zangu?
 
asa huoni kama unajitesa mwenyewe, me huwa najizuia kupenda Sana cuz najijua nikipenda huwa nageuka mtumwa
Najitesa kivipi mkuu, now ile care nimepunguza sana....sijali sana kuhusu yeye. Sasa hivi yeye ndo ameanza kulialia baada ya kuona upepo umebadilika.
 
Pole sana kwa unayoyapitia usikate tamaa songa mbele kuna maisha baada ya kuachwa.
 
Safi Sana jamaa inaonekana hakuhudhuria kikao na hayo ndio madhara yake Sasa aje asome agenda hizo haraka aache ujinga arejee kazini kutafuta hela
 
Mkuu hawa viumbe wasikie tu, nilikuwa nakaza fuvu tu ila omba tu yasikukute kabisa nimepigwa nyundo ya utosi kweli waliyokua wanatumia magunia ya mkaa sio wa kulaumu hata kidogo
Maumivu hata hayaelezeki nashukuru hakuwa na mimba yangu itakua ngumu ila ntasimama upya ila akili imestuck nimepigwa na usingizi mziitoo
Hata ushauri tu mkuu mtu unaweza fanya maamuzi ya kipuuzi ukajutia
Yalianza hivo hivo kukaza kwangu fuvu leo nalia
Hawa viumbe ni complicated mno mkuu, yaani nguvu zote nlizopoteza kumpa mahitaji na kumwaga manii yangu spiritually imenifanya nimekua weak, anyway ngoja ninywe maji nitarudi.
Nikiisoma saikolojia yako wewe unaonekana umesomesha toto la mtu halafu linakaribia kuhitimu likakuletea mapicha picha.

Ndo umeshajifunza hivyo siku nyengine usirudie tena!
 
MIMI NILIACHWA NILIKUWA NALEWA NALIA KUMBENAJIUMIZA MWENYEWE SINCE
NIMEJITAMBUA NA KUTULIA NIMEKUWA MTU WAFURAHAA SANA
JENGA KULA VIZURI
PATA MUDA WA KUPUMZIKA
JIWEKE BIZE USIMWAZE ULIE ACHANA NAE
JITOE OUTINGING MWENYEWE
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
MIMI NILIACHWA NILIKUWA NALEWA NALIA KUMBENAJIUMIZA MWENYEWE SINCE
NIMEJITAMBUA NA KUTULIA NIMEKUWA MTU WAFURAHAA SANA
JENGA KULA VIZURI
PATA MUDA WA KUPUMZIKA
JIWEKE BIZE USIMWAZE ULIE ACHANA NAE
JITOE OUTINGING MWENYEWE

Mkuu hapo kujitoa out mwenyewe nipe uzoefu kidogo !yaani upige nyeto kisha ujitoe out kutafuta nini sasa [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…