Mapenzi hayana matatizo ila wapenzi ndo wanamatatizo.

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
32,529
Reaction score
76,691
Kitu kimoja cha kuelewa ni " mapenzi ni mfumo unaojitegemea!"
usilalamikie mapenzi kuwa ni kitu cha hovyo bali wapenzi ndo hovyo!,maana mapenzi ni kama njia tu,wanaopita ndo huamua wapiteje lkn mapenzi ni rafiki wa mwanadamu kwamwe hawaachani!.
ndio maana mtu huendelea kupenda tena na tena.

wengi hushindwana kitabia lkn si kimapenzi!
ndio maana wapenzi hupigana/kufarakana lkn hurudiana!
kilichowarudisha ni mapenzi.. mapenzi ni tafsiri tosha ya amani.

Tabia zetu ndo chachu ya migogoro ktk mapenzi,kwasababu tunasahau(hatujui) kuwa mapenzi ni mfumo unaojitegemea na hautakiwi kuchanganywa na mifumo myengine..
unahitaji kuyaelewa mapenzi si mapenzi yakuelewe wewe.

mapenzi hayakosei kukuchagua ila wewe ndo unakosea kuyachagua mapenzi,kwasababu unachagua mtu wa kuwa nae ila huchaguliwi na mapenzi.
mapenzi yakweli nikwawatu waliopendana sio waliopendezana..
ukishajisoma nakujitambua nakumtambua leso itakuwa kitambaa chakujifutia jasho na vumbi.
 
Kazi ipo
 
Back
Top Bottom