VINICIOUS JR
JF-Expert Member
- Dec 29, 2022
- 208
- 518
Kwema wakuu,
Lazima tukumbushane kuwa ukimpenda mtoto wa watu ambae umekutanae ukubwani lazima uwekeze moyo na pesa zako kwa kiasi sio unaweka moyo wote na pesa zote siku mambo yakiwa tofauti lazima ujikute umepigwa na kitu kizito ndo pale unasikia mauaji n.k,
Kwa wakamaria hawa hawanashida sana unaweza ukawa na laki ila unaweka buku unabetia miambili miambili mikeka mitano hata keka likishanika hasara si kubwa ila weka mzigo wote unaamka asubuhi ya supu hamna tafakari chukua hatua.
Nimemaliza.