VINICIOUS JR
JF-Expert Member
- Dec 29, 2022
- 208
- 518
hakuna jambo tunakumbushana utaratibu maana kuna binadamu wanajisahau.Nini kimekukuta mkuu??
Nikipenda lazima nijisahau aisee..kila siku najiapia kwa kujidanganya "mm kumpa hela mwanmme😄mm kumuamini mwanmme" but mwisho wa siku narudia makosa..hakuna jambo tunakumbushana utaratibu maana kuna binadamu wanajisahau.
Wanawake wote type ya penina wa goba acha wachinjwe tu, wenyewe si wanaendekeza tamaa. Mademu waache tamaa na kuendekeza njaa vijana wanatafuta hela kwa tabu sana kama unaempenda ni kapuku tulia nae uyo uyo mfanye maishaKwema wakuu,
Lazima tukumbushane kuwa ukimpenda mtoto wa watu ambae umekutanae ukubwani lazima uwekeze moyo na pesa zako kwa kiasi sio unaweka moyo wote na pesa zote siku mambo yakiwa tofauti lazima ujikute umepigwa na kitu kizito ndo pale unasikia mauaji n.k,
Kwa wakamaria hawa hawanashida sana unaweza ukawa na laki ila unaweka buku unabetia miambili miambili mikeka mitano hata keka likishanika hasara si kubwa ila weka mzigo wote unaamka asubuhi ya supu hamna tafakari chukua hatua.
Nimemaliza.
Hii ni rejea ya Penina wa Goba limama nginjanginja komasava, alivyokula hela ya msukuma akageuzwa bucha...😜Nini kimekukuta mkuu??
TAMAA, TAMAA, TAMAAWanawake wote type ya penina wa goba acha wachinjwe tu, wenyewe si wanaendekeza tamaa. Mademu waache tamaa na kuendekeza njaa vijana wanatafuta hela kwa tabu sana kama unaempenda ni kapuku tulia nae uyo uyo mfanye maisha