Mapenzi hayana umri

Lady Mwali

Senior Member
Joined
Nov 15, 2018
Posts
147
Reaction score
333
Wapenzi hawa wanatarajia kuoana na kupata mtoto.Mwanamume ana umri wa miaka 24 na mwanamke ana miaka 61, tofauti ya miaka 37.

Wapenzi hawa wanatarajia kuoana na kupata mtoto.Mwanamume ana umri wa miaka 24 na mwanamke ana miaka 61, tofauti ya miaka 37.

View attachment 2080965
Ana miaka 73 huyo mwanamke. Na alishafariki. Ila kweli.. mapenzi hayana umri KAMA KUNA SABABU FLANI. KAMA HUYO MWANAMKE HANA KITU.. HAKUNA MTU ANGEMPENDA. JAMAA KAMPENDEA $$. Bibi takiri akafariki kwenye honeymoon.. Mkenya mwanaume akabakia na mabillion. Kifo chake chenyewe ni cha kutatanisha
 
Wapenzi hawa wanatarajia kuoana na kupata mtoto.Mwanamume ana umri wa miaka 24 na mwanamke ana miaka 61, tofauti ya miaka 37.

View attachment 2080965
 
[emoji848][emoji848][emoji87]duh,noma sana
 
Nimependa tumanyonyo twake
Inaokana jamaa anamkunja vizuri bibi wakati wa kuitafuta mbususa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…