Mhaya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2023
- 1,831
- 5,489
Ukitaka kukorofishana na mtu, mwambie ukweli kuhusu mahusiano yake. Mahusiano huwa hayataki ushauri.
Utamwambia vizuri tu kumsaidia, muache, kesho wapo wote na wanakusema. Kitu pekee kwenye mapenzi ninachoweza kukushauri ni namna ya kuishi na msongo wa mawazo. Mapenzi hayashauriki, wewe si ulimsoma Samson, ukamsoma Daudi, ukamsoma Adam, na jana nimeakuandikia kuhusu JFK.
Ukitaka kumkasirisha mtu mwambie ushauri kuhusu mapenzi.
Ndiyo!
Wewe si unajifanya mwamba, eti unajua kushauri watu vizuri, washauri kuhusu mapenzi. Utachukiwa kama shetani. Mtu anakuomba ushauri kuhusu long distance relationship.
Sasa bro! Manzi akiwa Mwanza, wewe ukiwa Dar, unataka tukuambie kwamba huyo ni mkeo wako, hapana, huyo ni mke wenu.
Wewe upo Songea, mumeo yupo Rukwa, halafu unataka tukwambie kwamba huyo ni mumeo, hapa, huyo ni mume wenu. Yaani hata mpenzi wako akiwa mbali, huyo ni mpenzi wenu. Unajua haya mambo hamjayaelewa tu wadogo zangu. Mwili wa binadamu unahitaji sana sex, tena sana.
Usipofanya sex kwa kipindi fulani, unakuwa kama umepagawa.
Hapa mtaani kwetu kulikuwa na jamaa yeye muda wote kelele. Usiku kelele. Mchana kelele. Yaani kama kapagawa.
Nikamwambia jirani yangu ambaye ni shoga wa mama yake wamtafutie demu.
Mishe ikafanyika, kupata demu siku hizi siyo big deal. Ndani ya siku mbili, jamaa kapewa, alipofungua zipu, na kelele zimeacha.
Mwanamke asipofanya kwa kipindi kirefu. Anakuwa na hasira.
Mara anachekacheka. Msione wengine visilani mtaani.
Haya mambo hamuyaelewei tu. Mimi sikushauri uoe na kuishi mbali na mkeo, ama mumeo. Ndiyo. Sikushauri kabisaaaaaa.
Kama mnataka kuoana, lazimisha mmoja aache kazi na amfuate mwenzake. Usijidanganye eti tutakuwa tunaaminiana hata tukiwa mbali.
Bro unanichekesha sana. Siku ukienda huko, jichanganye ofisini kwake ukaulize. Utaambiwa mbona Dickson kamuweka.
Mbona yule dereva boda pale anapiga kisela. Mbona jamaa anamchukua yule sekretari.
Ndiyo! Hadi yule muuza matunda pale ofisini kapita naye. Kwenye harakati za kutafuta amani ya moyo, anza na maamuzi magumu.
Unataka kuoa ama kuolewa, cha kwanza hakikisha mnaishi pamoja, achana na mambo nimeoa, mke kaenda kufanya kazi huko Mwanza, mimi nipo Dar.
Bro, dada angu, acha huo ujinga.
Ndiyo!
Ni ujinga.
Unaoa vipi kivuli?
Usichokiona.
Usichoweza hata kukishika kiuno unapohitaji. Usichoweza hata kukishika zile ndevu zake.
Hapo umeoa ama umeolea watu?
Hapo umeolewa peke yako ama kuna kundi la watu wengi mmeolewa?
Mungu amekupa akili kwanza.
Amekupa uwezo wa kupambanua mambo. Sasa badala ya kuzitumia akili ipasavyo, umeamua kuzitumia kwa kuoa ama kuolewa na mume kivuli.
Naongea haya kuwasaidia nyie ambao hamjaoa. Hata mwanamke umpende vipi, hakikisha hakai mbali na wewe.
Hata mwanaume umpende vipi, hakikisha haishi mbali nawe.
Wengine tunayatafuta tu.
Halafu hizi mambo za kuishi mbalimbali mbona ni za miaka hii?
Baba yako alikuwa anaishi mbali na mama yako?
Ama ndiyo mnaishi kidigitali zaidi?
Kataa sana kuishi mbali na mwenza wako. Kama una plan za kuoa, kitu cha kwanza hakikisha kuna uwezekano wa kuishi pamoja, sio ukaolee watu halafu baadaye unakuja kuomba ushauri.
Ndugu yangu, kizuri kukilinda kitu chako. Linda mali yako. Ukiwa naye ndani, hata akitafunwa, atatafunwa kidogo tu.
Ila akiwa mbali. Atafakamiwa mpaka uombe poo. Halafu bro acha kusafirisafiri kama rubani. Tunayoyaona mpaka tunasikia noma kukwambia.