The Kop JF-Expert Member Joined Aug 7, 2010 Posts 209 Reaction score 93 Dec 2, 2011 #1 nimekuwa nawauliza watu ili swali lakini sipati majibu ya kuridhisha, ninyi wana MMU mnafikirije....?
nimekuwa nawauliza watu ili swali lakini sipati majibu ya kuridhisha, ninyi wana MMU mnafikirije....?
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,107 Reaction score 160,001 Dec 2, 2011 #2 kaulize kwenye jukwaa la dini ambako AMRI KUU NI UPENDO
Mwali JF-Expert Member Joined Nov 9, 2011 Posts 7,012 Reaction score 5,612 Dec 2, 2011 #3 Swali lako halijakaa wazi... Nadhani ni hisia ila unaweza kuchagua kuipotezea au kuiendekeza.
Soraya JF-Expert Member Joined Oct 29, 2011 Posts 202 Reaction score 65 Dec 2, 2011 #4 The Kop said: nimekuwa nawauliza watu ili swali lakini sipati majibu ya kuridhisha, ninyi wana MMU mnafikirije....? Click to expand... Swali zuri sana. Mi nadhani mapenzi ni hisia,ingawa kwa dunia ya sasa inazidi kushuka kama kigezo cha kuwa kwenye mapenzi. Watu wanafuata kuchagua zaidi na hasa kigezo cha uchumi kinapokuja.
The Kop said: nimekuwa nawauliza watu ili swali lakini sipati majibu ya kuridhisha, ninyi wana MMU mnafikirije....? Click to expand... Swali zuri sana. Mi nadhani mapenzi ni hisia,ingawa kwa dunia ya sasa inazidi kushuka kama kigezo cha kuwa kwenye mapenzi. Watu wanafuata kuchagua zaidi na hasa kigezo cha uchumi kinapokuja.
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,991 Reaction score 24,211 Dec 2, 2011 #5 Mapenzi ni kitovu cha Uzembe
HorsePower JF-Expert Member Joined Aug 22, 2008 Posts 3,612 Reaction score 2,567 Dec 2, 2011 #6 Ni hisia mkuu, na pia hutoka moyoni. Huwezi kuchagua mapenzi, maana hayo si maembe au machungwa!!! Na ukiforce kuchagua, baadaye utaishia nyumba ndogo
Ni hisia mkuu, na pia hutoka moyoni. Huwezi kuchagua mapenzi, maana hayo si maembe au machungwa!!! Na ukiforce kuchagua, baadaye utaishia nyumba ndogo