Afrika Furaha
JF-Expert Member
- Dec 16, 2010
- 329
- 10
- Thread starter
-
- #21
mnh kikubwa ni maelewano,mkikubaliana kufanya ni poa,na mkikubaliana kufanya baada ya ndoa ni poa pia...ila kwa mapenzi ya sasa kufanya baada ya ndoa ni ngumu sana,mie sio siri nikiwa na mchumba najua ananipenda na haniulizi game nitahisi ana mahali anachakachua...lol:teeth:
wengi hasa wanaume wanapenda 'kuthaminisha' bidhaa zetu wanawake kama bado zinafaa kwa long term use-bahati mbaya saaana bidhaa zetu zinaeleza kama zimeshachakaa au bado, unfortunately ikija kuthaminisha bidhaa zao hatuwezi kueleza kama imetumika sana,yenyewe inaweza kutumika kuchapa wanawake 1000 ikabaki vile vile,ngoja wewe mwanamke uchapwe na wanaume 1000 uone kazi!!:embarrassed::embarrassed::embarrassed::embarrassed::embarrassed::embarrassed::embarrassed::embarrassed::embarrassed:
Kuna watu wamekuwa wakisisitiza eti kama una mpenzi ambaye unakusudia kuoana nae, ni muhimu uwe umewahi kufanya nae mapenzi kabla hamjapelekana hata kwa wazazi. Wanadai hii inasaidia kumjua mwenzio alivyo kwa "ndani" na kama umeridhika na mavituuz yake. Wengine wanadai ni muhimu umjue (kwa wanawake) mwanaume wako alivyo, maana unaweza kukuta HAIFANYI KAZI, au KADOGO SANA. Wengine husisitiza ni muhimu sana, maana wengine wana matatizo ya SEHEM HIZO, mfano unakuta ana nyeti zote 2, au nyet zake zimefanyiwa operation, hivyo haziko asilia. Wengine wanasema sio muhimu, mtajuana humo ndani mkioana! Sasa ipi ni njia sahihi?

Jamani wala!Nimekwambia ukweli nnavyofikiria...usifanye watu wanachotaka ufanye!Kinachowafaa wao sio lazima kikufae na wewe...soo chukua maoni ya watu...changanya na yako alafu uamue kama uko tayari kununua mbuzi kwenye gunia ukija kufungua ukute ni kondoo au uchungulie kabla hujanunua!