Mapenzi kama Njaa...!

ivi ennh?
km njaa?

so unaweza ukayafanyia diet ili usikie io njaa km yapo teele?
unaweza ukfast-ukafunga...ili uhisi io njaa?

km njaa?ehh haya bana
 
Reactions: Mbu
Seconded.

Hivyo basi, ulo nae mkeep na um enzi; akija akikutoka usije kulia.
 
Reactions: Mbu
Mapenzi sio kama njaa..kwani mapenzi unaweza kujimalizia haja zako wewe mwenyewe.. Lakini njaa huwezi kujila mwenyewe..
 
Reactions: Mbu
Upweke noma.....na mapenzi yanaondoa upweke.....
 
Reactions: Mbu
Khaaaaaaa!!! wapi na wapi......... ukameee huo na mapenziiiii........ mmmmmmmmmmmh!!!!!
 
ivi ennh?
km njaa?

so unaweza ukayafanyia diet ili usikie io njaa km yapo teele?
unaweza ukfast-ukafunga...ili uhisi io njaa?

km njaa?ehh haya bana

..naaam, jinsi unavyoyakosa ndivyo unavyoyahitaji.

Hio picha has lost all my concentration... Heartbreaking...

...indeed!...aliyepoteza mapenzi husikitisha vile vile.

Seconded.

Hivyo basi, ulo nae mkeep na um enzi; akija akikutoka usije kulia.

...mnh, 'dongo langu hilo?'..LOL! Freema, at all cost kwakweli...mpaka kifo kitapotutenganisha,
Nitamuenzi, nitamtunza, nitamvumilia na kumthamini...Inshaallah!

Mapenzi sio kama njaa..kwani mapenzi unaweza kujimalizia haja zako wewe mwenyewe.. Lakini njaa huwezi kujila mwenyewe..

Huwezi bana, ...Mapenzi sio kitendo.
Mapenzi ni njaa!...'huyadanganyiwi kwa uji!'
 
...mnh, 'dongo langu hilo?'..LOL! Freema, at all cost kwakweli...mpaka kifo kitapotutenganisha,
Nitamuenzi, nitamtunza, nitamvumilia na kumthamini...Inshaallah!

Inshaallah kheri.

Remember hakuna bin/t Adam aliyemkamilifu. Tuvumiliane, tupendane, tutunzane, tuenziane, tuthaminiane kwa hali na mali, kwa shida na raha, dhiki na faraja, magonjwa na uzima, ka ukali na upole, ukarimu na uchoyo, uzazi na ugumba, uerevu na ujinga, (na hata umalaya?).
 
Mapenzi ni kama njaa?

Napenda kubisha kwa nguvu zangu zote.........

Njaa ni kitu kingine na mapenzi ni jambo jingine..... Ntafafanua ikihitajika.
 
Reactions: Mbu
Mapenzi ni kama njaa?Napenda kubisha kwa nguvu zangu zote.........Njaa ni kitu kingine na mapenzi ni jambo jingine..... Ntafafanua ikihitajika.
Hata mimi nakubaliana na wewe na nitaelezea baadae bt kwa sasa nangoja jamaa afafanue picha yake na title ya hii thread!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…