Mapenzi kama Njaa...!


Huo uzalendo na umefanya la maana!..

Honestly, hii thread ina maudhui mazuri sana ambayo wewe ulidhamiria kufikisha ujumbe kwa hadhira. Lakini ile picha haikuendana kabisa na hii mada.

Njaa ya mapenzi unayoongelea kulinganisha na ile picha ilikuwa ni kitu kibaya..Yule mtoto anaweza kuwa alipewa mapenzi yote na wazazi wake/familia ila hali ya duni ya maisha ndiyo imemfanya vile!..

Binafsi sijakataa ukweli ila mada na ile picha havi-reflect ukweli maana ulijichanganya..Ni vyema unakubali kukosolewa tena with a +ve mind!!Peace
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…