JERUSALEM 2006
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 527
- 596
ndugu kwa ndugu kuna uaminifu mkubwa, tofauti na wa kuokoteza mtaani.
ndugu kwa ndugu kuna uaminifu mkubwa, tofauti na wa kuokoteza mtaani.
Mmmh, kwanza tujue, tatizo la ndugu kwa ndugu lipo, na kama lipo kubwa kiasi gani?
mmmh! @ manoah una hatari
Wasalaam JF members.
Ni tabia ambayo imejengeka kwa jamii nyingi, kukuta ndugu kwa ndugu wanafanya mapenzi kwa sababu tofauti tofauti.
Hii imesababisha mimba zisizokuwa na tija na migongano kunako familia. Je?
1. Kwa nini hili jambo hutokea kwa ndugu kuwa na matamanio ya kimapenzi baina yao?
2. Nini kifanyike ili ndugu wasijiingize katika ngono baina yao?
3. Na kama imeshatokea ndugu wanafanya ngono, je ni halali wao kuoana? kwani itabidi wasidhini.
NB: Ndugu niwahusishao ni kati ya binamu kwa binamu na mara chache kaka na dada.
hamna hatari hapo bwana AWP mie, nayajua mapenzi ya ndugu yanavyo kua, yani yana Raha kuliko karaha na hata migogoro hua hakuna
ndugu kwa ndugu kuna uaminifu mkubwa, tofauti na wa kuokoteza mtaani.
Uaminifu gani? Probably I miss a point
Confidently huh, eti avatar hii ni picha yako? Graduate wa chuo gani? Degree za PICHU kwa unachokisema.
hapa sio picha yangu. DTC ndio nimemalizia
ndugu kwa ndugu kuna uaminifu mkubwa, tofauti na wa kuokoteza mtaani.
Ndugu kwa ndugu hakuna tatizo lolote lile, kama familia yenu haina maradhi ya kurisishana kama, pumu, degede na kazalika, ila kama kuna maradhi hayo haipendezi kuwa na mahusiano ya ndugu kwa ndugu. Mie, baada ya kutangaza natafuta mke aah! mtoto wa mdogo kajitokeza wacha mie burudani sina hofu nae
ukistaajab ya Mussa...
Hivi jamani mnapokuwa mnatoa comments zenu humu huwa mko serious au mnafanya utani utani tu! Ivi wewe unaweza ukoa/ukafanya ngono na mtoto wa mdogo wako kweli! Au ukaoa dada yako wa damu kweli? This is too much kichefuchefu jamani, looh!!